weeeee zile ambyulensi haziko hizi banaaa
kwanza juu kunakuwaje na side mirrors kwani nako kuna dereva?
Nathani hiyo sehemu ya juu ni mapambo tu!
bibie babe S ukiwa juu itabidi uruke kabla ya hiyo Bajaj kuanguka hahhahahahahah na barabara za kibongo ni hatari sana lakini salama tu.Imagine kikianguka na uko huko juu!
Unaruka!!!!!!mmhhh..................mbona sioni ngazi?!?!?