Bajaj used for sale.

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
-Ni 4stroke (bajabi nzuri kuliko 2stroke, na TVS, )
-ipo katka hali nzuri kabisa, inafanya kazi kwa maintanance
ya bajaj mpya (kumwaga oil na vispea vidogo vidogo)
-Ipo dar es salaa.
-Inji na bodi ni zuri sana.

Mwanye kuhitaji kuiona apige 0714488447.
 
Bei kwanza kabla ya kukupigia
 
weka bei,mbona waoga wa kuandika bei?jueni biashara
 
weka bei,picha!na pia haijawah kupata ajali?manake kibajaj kikishapata ajali ni msala huo!pia ni bajaj ya kichina au ki india!
 
weka bei,picha!na pia haijawah kupata ajali?manake kibajaj kikishapata ajali ni msala huo!pia ni bajaj ya kichina au ki india!

Kaingia mitini,aje ajibu haya maswali
Na ni nzuri ukilinganisha na 2 stroke in which sense,vp kuhusu garama za matengenezo na upatikanaji wa spea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…