Mkubwa habari yako?Ninauza bajaj TVS King ambayo imeshatumika kwa miaka miwili hivi. bei ni shilingi za kitanzania 2,500,000/= ila inaweza kupungua kidogo kulingana na tutakavyokubaliana na mnunuzi. kwa sasa ipo Tabata Segerea.
mnunuzi yeyote anaweza kuni pm au kuandika hapa na kama atapenda kuja pia tuwasiliane kwa kunitumia private message nami nitampigia simu na kumpa maelekezo
kwa kifupi unaweza kwenda na bajaj hadi kigoma maana hata kwa baiskeli unaweza kwenda issue ni kwamba utatumia muda gani kwa safari hiyo na itabidi upumzike mara ngapi kabla ya kuendelea na safari.Mkubwa habari yako?
Sina mpango wa kununua Bajaji kwa sasa ila nahitaji kufanya hivyo siku chache zijazo! Naomba unifahamishe yafuatayo.
1. Je, Bajaji inaweza kusafir umbali mrefu (mfano kutoka Dar adi Kigoma)?
2. Kama zipo Bajaji zenye uwezo uo(hapo juu) naomba unitajie ni Bajaji aina ipi na ni moder gani.
3. Mwisho naomba unitajie bei ya bajaji zinazoweza kusafiri masafa marefu(bei ya dukani)
AHSANTE
Note; Mwengine yeyote mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze,
nitajitahidi kuweka picha either leo jioni au kesho ila picha inaweza kuwa misleading na ndiyo maana nikasema mtu aje aione ndio anunue picha inaweza kuwa ya bajaj nyingine wakati inayouzwa ni nyingine. nafikiri unaona picha za watu facebook !Weka picha zake hapa
Sasa mkuu ukiweka picha ya bajaji ambayo sio inayo uzwa utakuwa una mkomoa nani?nitajitahidi kuweka picha either leo jioni au kesho ila picha inaweza kuwa misleading na ndiyo maana nikasema mtu aje aione ndio anunue picha inaweza kuwa ya bajaj nyingine wakati inayouzwa ni nyingine. nafikiri unaona picha za watu facebook !