Bajaj for sale-MOROGORO

mcharuko.mcharu

New Member
Jun 9, 2011
2
1
Nauza Bajaj yangu ya mwaka 2009 iko MOROGORO, iko registered kwa biashara licence ina'expire April 2012, iko katika hali nzuri haina tatizo lolote.
Bei tsh 2,500,000-NEGOTIABLE
Sababu ya kuuza-sina muda wa kukimbizana na madereva wasumbufu, wameniibia sana hela!
Samahani nimeshindwa kuweka picha, Serious Buyers ni PM please!
 
Yaani toka mwaka 2009 na faida yote waliyokurudishia muda wote huo bado watuuzia 2.5mil? Na ni nzima?
 
Back
Top Bottom