Bahili alinunua Mbuzi,kufika pale home kwake akamwabia my wife wake.
BAHILI:-Nyama nusu pika pilau iliobaki weka kwenye friza.
Kichwa fanya subu
Ulimi na moyo utachoma.
Miguu fanya mchuzi chukuchuku.
Ubongo kaangiza.
Utumbo pika na ndizi
Ngozi usitupe tutafanya pambo sitting room.
Na Mavi peleka shamba mbolea.
Mifupa tutawauzia wenye Mbwa.
MBUZI AKASIKIA AKAULIZA:-BOSS HUTAKI SAUTI YANGU UWEKE RING TONE KWENYE SIMU YAKO?