Hee, miwivu hiyo. Mbona nyie hamuishi sijui kufyonzana na gfsonwin hatuingilii? LOL
Gfsonwin 'haki' ya mtu ni ipi, ili tujue kisicho haki ni kipi? Uzazi ni majaliwa ya Mungu na pia ni mpango wake pia!
hivi Kaunga do you believe kwamba wewe ni haki yako kuwa binadamu mwanamke na kuheshimiwa kama mwanamke na kama mama? na je wajua kwamba ni kwa neema tu ya Mungu wengine wanapata kuwa mama na wengine wanaishia kuwa wanawake? basi neema hii ya Mungu ndio watu hiita bahati na sikupenda sana niiweke hivyo kwani ingekaa kiimani sana. ila ukweli ndio huo. tena wataalam wa theology wanasema wazi kwamba hakunaga bahati njema ama bahati mbaya duniani bali kuna Neema ya Mungu tu. na ambayo hii wether imekufeva ama hapana haimbadilish Mungu katika nafasi yake.
Labda nitumie mfano wako wa pili kuelezea vile ninavyofahamu/amini:Hili ni neno la kiswahili lakini sijui hasa linalenga kitu gani.Nilizaliwa nikalikuta linatumika nasikia watu wanasema,"aaah jamaa amepata bahati ya kupata mke mwenye tabia njema" au unasikia "aaah yule dada amepata bahati ya kupata kazi kwenye ile kampuni".Jamani naombeni walau kidogo mnisaidie,Bahati ni nini?Ni kitu gani?Inatokeaje?
Hili ni neno la kiswahili lakini sijui hasa linalenga kitu gani.Nilizaliwa nikalikuta linatumika nasikia watu wanasema,"aaah jamaa amepata bahati ya kupata mke mwenye tabia njema" au unasikia "aaah yule dada amepata bahati ya kupata kazi kwenye ile kampuni".Jamani naombeni walau kidogo mnisaidie,Bahati ni nini?Ni kitu gani?Inatokeaje?

Unamaanisha upendeleo au??
Huo upendeleo nani anautoa?
Kwa hiyo huyo mwenye uwezo ana upendeleo?
Unamaanisha kitu gani hapa?
Namaanisha sisi binaadamu tunatowa hiyo tafsiri ya upendeleo. Labda ungekumbuka wakati wa Kampeni za urais wa Marekani ungeona jinsi tunavyoona ubora na udhaifu. Kama bado umetatizwa niko huru, sema tu!
Kama sisi ndo tunatoa hiyo tafsiri hebu niambie nini maana ya neema!