Habari zenu!
Mie toka nifuatilie Bunge toka kipindi cha Kikwete sijawahi kuona yule mama kasaidia nini nchi hii?Alipelekwa kuwa naibu waziri kwenye elimu, I don't remember what she did, labda nyie mnakumbuka kubwa; hata sijawahi kumuona akibeba wazo binafsi au ni mzuri katika ku implement miongozo na Sera mbalimbali kwenye documents.
Kwa mtazamo wangu bora hata Sada Mkuya,au legend Anna Abdallah. Kinachonishangaza hakosi fursa yeyote akikosa uwaziri Mara mwenyekiti wa Bunge, sijui ni bahati au ndele (nyota)?
Nielemisheni tafadhari!