NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
got youThey are, but they are all fighting for power.
got youThey are, but they are all fighting for power.
Nadhani hiyo ilikuwa more of a "Bush politics"You have all missed one important quotation "you're either with us or you are against us".
KWakweli walishangili kipumbavu sana uvamizi ule sasa nchi haina mwenyewe ila mafuta yamepata mwenyewe....miaka 9 ya vita na $1 trillioni kuanguka. Nchi imekuwa katika hali mbaya kulinganisha na kabla ya uvamizi wa March, 2003, sijui kama nchi ile itakuwa na amani tena. Ndiyo demokrasi hiyo waliyopelekewa kwa hisani ya Taifa kubwa.
Wakuu,
Mara baada ya US kuondoa majeshi yao rasmi huko Iraq, mambo yamezidi kuwa mabaya sana.
Iraq has never be the same and never will it be, at least not in the near future.
Ni wazi MSunni bado anadhani ni haki yake kutawala taifa lile na wanaona kuwa wamarekani ndo walikuwa kizuizi, however wa Shia nao sidhani kama watakubali tena kuipoteza influence yao ambayo sasa wamesha enjoy na pia wamejikita kwa kiujikusanyia silaha na more troops especially Mahd Army ya Sheick Muqtadar Al Sadar, na pia sapoti kutoka kwa ndugu zao waIran, ambao wali seize opportunity kutokana na ile misscalculation ya Bush iliyo wa empower mashia wa Iraki ambao ni ndugu zao...
Ni wazi Saddam alikuwa mbaya lakini uwepo wake ulikuwa wa muhimu kuliko kutokuwepo kwake hususan kwenye "balance of power on the region"
Suni vita yeye iko ndani ya damu, nina uhakika atapambana hadi mwisho na hata koma since wamarekani hawana jeshi kubwa huko na wameshajitoa rasmi kwenye issue za major operations.
Kwa upande mwingine kuna wale Kurdish ambao utajiri wa mafuta walionao na sovereignity basi nao wamezidsha mpambano mara baada ya US withdrawal, kwakweli ni chaos...
Is Iraq Falling Apart? | Battleland | TIME.com