Mwigulu yupo Mjini Kati hapoNatokea posta kupitia Tanzanite bridge napo hali tete
Kuna foleni kuanzia ocean road mpaka coco beach
Ujenzi wa barabara hizi za mwendokasi, plus nasikia kulikuwa na ajari maeneo ya ubungoAu mama Dullah anakimbia nchi kupitia Bagamoyo?
Ni kote Mimi mpaka nimeamua kupaki kimkebe changu na kulala hapa manzese midizini nikiwa pekeyangu lakiniKuanzia Lugalo, Mwenge hadi Mawasiliano kuna foleni balaa.
Kama una gari usipite kabisa huku.
Novemba 20, 2025 - 5:40pm update