Bagamoyo kulikoni leo?

Misafara ya magari ya watawala kuelekea Bagamoyo ni mingi mno leo
Na kunafoleni ya kufa mtu kupisha wakubwa wakielekea nasikia kwenye msiba wa kaka yake raisi mstaafu,nimekaa masaa 2 kwenye foleni nikitoka Bunju
 
Aisee mlikuwa na haki ya kulalamika,dizaini Leo serikali ilihamia Msoga wanapeana ten minutes za kila kiongozi kumtangulia mwenzake.....Ni shida
 
Walifuata "Medulla Oblangata_zao". Nilisikia wengi walikuja mjini bila hiyo kitu, wamekumbushwa kuifuata leo
 
Back
Top Bottom