Bae niongezee hela ninunue S9+

Mkuu huyu mtu anajua misimamo yangu, anajua ninavyosimamia matumizi na kupinga anasa za kijinga lakini still kaweza kuja kunipa hii biashara napata wapi nguvu za kumpa somo?!
 
Hahahahahaha mkuu umetisha
 
Kweli kabisa.
 
Gentleman, Life is not that serious.
What is a basic to you may not always be the same to others.

Kuna vitu vingi sana vinachangia kumfanya mtu jinsi alivyo.
Taka kuangalia vitu kutokea kwenye misingi yake, achana na matokeo.
Ukitaka kubadili matokeo, badili msingi.
Ukishajua msingi wa kitu ni rahisi kujua namna kilivyokuja na namna ya kukishughulikia.

We are always a work on progress. Learning and unlearning daily.
Tabia ulizonazo kama hukuzaliwa nazo, ina maana ulijifunza, kila ulichojifunza unaweza pia kukiondoa au kukibadili
PENYE NIA PANA NJIA.

Kumbadili mtu sio kazi rahisi kama kuandika hapa. Kuna wanaopokea vizuri na wengine mnaishia kugombana. Vile vile sio kila mtu ana muda wa kumfundisha mtu mzima simple basics za life.
 
Will work on your advice next time.
 
Ila wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?
Sasa wewe na huyu anayeomba ya simu mko sawa?! Ungeniomba mimi ningekuongezea kama ninayo.
 
Sema huna hela tu ungemnunulia kabisa,ukikimbiwa unaanza kulia,nipe namba yake
Hahaha! mleta mada ana hela za mawazo,mara awaze hiyo hela inaweza kununua bati mara madirisha mara aseme inaweza nunua boda boda, matofali, halafu arudi kusema inaweza nunua sijui kiwanja!
 
Ila wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…