wanapiiiiika tembelee mooooja matataaaa na nyanya chungu na wali Nazi!weeeeeEeeh. Wanaitwaga kuku wa kienyeji. Hawanaga makuu wenyewe. Halafu wazuri balaa wakitunzwa ila kina kaka wanataka wakawafuje kwa chips kuku eti.
waambie waende matamasha ya TVEWritten off labda kama umeenda nunua Sinza inayofanya kazi miaka 10 lazima k iwe imeisha. Sema nawasikiaga rafiki zangu wakisema kuku wa kienyeji watamu sana tatizo ni wapi unakutana nae mpaka uanze nae
Wanawakosea sana kisa hawana invoice.wanapiiiiika tembelee mooooja matataaaa na nyanya chungu na wali Nazi!weeeee
shurti wanajua kusinga na kuimbia mtu twaarab akiwa kinenani!
nashangaa wanawapa chips kuku!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zao!
Sasa kule kuna watoto. Na wakienda ni aibu wakionekana kwenye picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana wanakomaaga na kina sie wadangaji tu hamna jinsi maana kufikia organic si jambo dogowaambie waende matamasha ya TVE
Ahahaaawaambie waende matamasha ya TVE
Mmmh utakua invoice yako balaaWanawakosea sana kisa hawana invoice.
Sinaga invoice mimi. Nikiomba kweli nina shida na najua utanipa. Sijui zile za beb naomba laki 8 nikanunue simu sijui million niongezee kodi hapana. Kama nataka million ya kodi ntaomba unikopeshe na ntalipa. Napenda kupewa kuliko kuomba.Mmmh utakua invoice yako balaa
Mmmh km kweli hongera sanaSinaga invoice mimi. Nikiomba kweli nina shida na najua utanipa. Sijui zile za beb naomba laki 8 nikanunue simu sijui million niongezee kodi hapana. Kama nataka million ya kodi ntaomba unikopeshe na ntalipa. Napenda kupewa kuliko kuomba.
Sasa kama unanipa kwanini nikuombe?Mmmh km kweli hongera sana
Hahaha, wadada wa mjini nyie ,mkitaka lenu ,halishindwiSasa kama unanipa kwanini nikuombe?
Hahahahaaa. Mi nipe tu jamani napenda kupewaHahaha, wadada wa mjini nyie ,mkitaka lenu ,halishindwi
Hahaha ,wako wakukupaHahahahaaa. Mi nipe tu jamani napenda kupewa
Huwa hakasiriki huyu, tena kwangu ndio kabisa.....
Wala sio kwako tu. Nimejifunza kutowakasirikia watu humu.Huwa hakasiriki huyu, tena kwangu ndio kabisa.....
Sema kuna watu kama wewe wakinikera nawaambia. Wengine nawadharau completely hata siwaulizi upuuzi wao sana sana ntachekaUtaishi kwa raha sana.
Weekend ya leo nyeusi kweli kwangu. Sijajisoma bado. Itakua Tips ama 777Message sent. Weekend wapi leo? Bucket moja ya Heineken on me.