Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,807
Reaction score
129,672
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!

Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!

Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.

NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
 
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
 
Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
pearsons-300x156.gif

r=-1
 
Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!

Ngoja nianze kutumia hiim njia...vichwa maji wataniona danga kumbe ni mtego.
 
Huyo kweli hafai kabisa. We emdelea kum drill mpaka akili yake ikae sawa.

"OFF TOPIC" Una maoni gani juu ya game ya jana. Kuna jamaa (chuki binafsi) zinasema tumebebwa.
Game ya jana? Real Madrid?
 
Back
Top Bottom