Mkuu
Kalamu . Hii sentensi nimecopy kutoka BBC website kuhusu chanzo cha kuhukumiwa kifo
''Sheikh Hasina was found guilty of allowing lethal force to be used against protesters, 1,400 of whom died during the unrest last year.'' Huyu wa kwetu ameua wengi zaidi. Nitashangaa mno kama atamaliza mwaka akiwa rais.