Bado tu haijatoka service? Nimeimiss

Mapacha wasiofanana si kila wakati unaweza kupata watoto wote wakawa sawa sometimes mwingine anaweza kuzaliwa na shida fulani
Mwenzake akiruka na kuchezacheza kwa furaha yeye anabaki amejiinamia tu kutokana na maradhi yasiyoisha[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Halafu mwishoni anakuja kugundua kuwa kumbe baba yao sio mmoja yani yule pacha mzima ni wa baba wa jirani...[emoji24] [emoji24] [emoji24] unabaki na majonzi na kujiuliza kwani baba yangu alikosea wapi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…