Bado sjapata mke

Bado sjapata mke

to be

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
229
Reaction score
261
Akitokea mikoa ya karibu Kama morogoro,dodoma,pwani na dar itakuwa vizuri zaidi kwa maana ya urahisi wa kuonana. Awe tayar kwa maisha ya ndoa,umri usizidi miaka 28,Kama ana mtoto awe mmoja, elim yoyote ,asitumie mkorogo au awe hajajichubua( rangi yoyote ila I we ni ya asili) ,asitumie pombe Wala sigara, mwaminifu. Mimi Nina miaka 32 na nimejiajiri. Karibuni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay

Njoo pm tuyajenge
 
Kuna mmoja ameleta mada huku jf ya kulizwa laki 5 kwa kupata mchumba feki,huku utapata wa part time tu,wa maisha watafute huko uraiani wanaokuona jinsi ulivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom