Nchi imepasuka vipande viwili.Rais ajaye atakuwa na kazi ya ziada ya kuliunganisha taifa. Kazi hii itakuwa nzito hasa ikitokea uchaguzi siyo huru na wa haki.
Kizzy wizzy, nadhani ulimaanisha azma badala ya adhma. Pili, mbeleni ni sehemu za siri. Nadhani ulitaka kumaanisha siku za mbele, siku zijazo au siku za usoni. Mbeleni ni sehemu za siri!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.