BADO SIJPATA MSAADA WAKUU JUU YA HII WEBSITE

BADO SIJPATA MSAADA WAKUU JUU YA HII WEBSITE

Msukule Msafi

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
55
Reaction score
48

Attachments

  • Capture 1.PNG
    Capture 1.PNG
    19.8 KB · Views: 59
kama huna ujuzi wa kuruka nazo, tangaza tenda alaf uone iyo PM itakavyojaa
 
uwezo wangu ni wordpress from scratch sasa nataka kujuzwa kama wordpress inatenda hii
ushafeli, unataka kitu kizuri wakati huo umeng'ang'ana na izo ready made platforms? wordpress, joomla, nk
kupata full customization uwezi kwepa php,laravel, JS,ajax, css, html na uwe na web server yako mwenyewe
 
Mkuu njoo imbox tuelewane nikutengenezee hiyo website ni file hosting website ambapo watu wanakuwa wanaweka mafile yako kwa malipo au bure na wengine wanadownload km premium member au free na ina sehemu ya ads kwaajili ya leads ambazo zinapatikana kwenye web
 
okay nimeshakuja check inbox
 
ushafeli, unataka kitu kizuri wakati huo umeng'ang'ana na izo ready made platforms? wordpress, joomla, nk
kupata full customization uwezi kwepa php,laravel, JS,ajax, css, html na uwe na web server yako mwenyewe
ndo maana nikasema msaada naomba kujuzwa pia
 
As I said before wordpress inaweza vyote hivi kwa kuinstall plugins like e-commerce and filemanager. So kama swali lako ipo on how
  1. Upgrade your wordpress.com acc
  2. Download plugins. Zinazo kufaa on the dashboard
  3. Download templates (if necessary)
  4. Customise
  5. Enjoy
Kama unatumia wordpress.org tafuta hosting websites like bluehost Ndio upate plugins for free or cheaper
Kama unatumia servers like wamp ndo utumie wp.org
 
Back
Top Bottom