Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
utoto[emoji120][emoji120][emoji120] nataka nimpe ban ya kutopokea simu zake for 3 months
utoto[emoji120][emoji120][emoji120] nataka nimpe ban ya kutopokea simu zake for 3 months
[emoji120][emoji120][emoji120] nataka nimpe ban ya kutopokea simu zake for 3 months
I'm now 26yrs old na mdogo wangu anamke na mtoto mi bado na mbwelambwela ndio wazee hawatakiYani mkuu mimi huwa najiamin sana kuwa ni Mume bora, lakin hadi sasa sijapata binti wakuona anafaa kuwa mke,
Wengine tunaachana kwa sababu za kijinga kabisa.
Yan mwisho wa siku mim naona ni kutimiza haja za kimapenz na msichana yeyote na kutembea tu kaha hataki kuendelea kunipa papuch bure, natongoza mwingine.
siwaz tena maswala ya mke na watoto,
Watu wa maana kwangu ni wanume wenzangu tuu, hatuachan kwenye tungi.
Swala la mke nimemuachia sir God, siku akinipa fresh.
I'm now 26yrs old na mdogo wangu anamke na mtoto mi bado na mbwelambwela ndio wazee hawataki
Point takenPole mkuu,
Mm hata nije niwe na 40 kama sijapata basiiii
Cha msingi kwangu je watu walionizunguka wananufaika na mm au la,
Kikubwa kwangu ni kutenda mema tu.
But ukiwa makin mke huwez kukosa, wapo mabint wengi tuuu
Wew unae ona anafaa usisite kumwambia, cha msingi kupata binti ambae tabia zake zinakupendeza, kwan ukibebelea lolote lizur litakutesa tu mkuu.
Doooh pole sanaKanivuruga aisee
Duuh sasa inakuwaje kahepaa tu mzee..?? au kapata anaempaa laki niniSure huwa natuma. Ndio kigezo kinachofanya naona kuna kitu kimejificha
Baba usipaniki maana naona hata msg kuandika kaziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bdio sijajua ila kama bisgaibiwa hivi nahisi