Bado siamini kama ni kweli

Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.
Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa twitter waRais JKkathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.
“Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @ jmkikwete
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…