Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
SwainiTukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Kwenye hili atakuwa anapewa sifa ambayo hastahili maana yeye ndiye aliyeanzisha huu utaratibu. Mzee wa msoga ndiye alikuwa anajitahidi kupandisha mishahara kila meimosi ila JPM akawa anasema sijui mpaka uhakiki wa wafanyakazi hewa uishe.Mzee, watu hawapendi kabisa kusikia RIP magufuli....usishangae ukatukanwa hapa japo umeongea kitu cha msingi.
Kwahiyo unataka kusema alipandisha mishahara.Watanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
He was best? Alipandisha % ngapi enzi za utawala wake?Watanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Kiukweli nimejitahdi kumsikiliza mama lkn,nimeshindwa kumuelewaWatanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Mzee mbona mapema unalalamika subiri July uoneTukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.Kwahiyo unataka kusema alipandisha mishahara.
Hivi watanzania mna kumbukumbu fupi hivi
Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.He was best? Alipandisha % ngapi enzi za utawala wake?
Acheni kumpamba uyo Magufuli yeye ndio kasababisha hayaTukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Aisee Watanzania mnasahau sana, jamani si kuna kipindi hapa sukari ilipanda Majaliwa wakawa wanasema kuna sijui wafanyabiashra wanaificha sijui nini.Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
Wewe ni punguani kwa ulichokiandika PERIOD na Mama amesema mishahara itapanda July watu watajua imepanda kwa kiasi gani unalaumu hata July haijafika what's up bro ?relaxUbora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
Haya nenda kakae na mavi yako nyumbani-Jiwe.Mzee, watu hawapendi kabisa kusikia RIP magufuli....usishangae ukatukanwa hapa japo umeongea kitu cha msingi.
Watamwelewa sana.Mzee, watu hawapendi kabisa kusikia RIP magufuli....usishangae ukatukanwa hapa japo umeongea kitu cha msingi.
He was and will remain soWatanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.