Elections 2010 Bado Pweza Mtu asisitiza Hakuna Uchaguzi Hapo Jumapili

JF msimpuuze uyu mchawi mwenye kampuni ya majini,kama 2005 alikufa farasi pia ii yawezekana. Kumbuka kuna imani zingne zinausishwa na mambo ya majini,inawezekana wagombea wa imani kama ya uyu ajuza ikawakuta kifo! Ila kwa mtu anayemwamini mola akiongozwa na roho mtakatifu hawezi kudhulika kamwe. Yahya dhidi kutoa ulinzi kwa mtu wako,sisi tutamwomba mola atie mkono. Tutajua Mungu ni nani wewe au Muumba!
 
Back
Top Bottom