Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,235
- Thread starter
- #21
itabidi niwaage wenyeji zangu..sitembei kwa mguu. sorryuko wapi mkuu nikulete nyumbani kidogo nikuzungushe na maeneo huta jutia
itabidi niwaage wenyeji zangu..sitembei kwa mguu. sorryuko wapi mkuu nikulete nyumbani kidogo nikuzungushe na maeneo huta jutia
Peleka ma uzinzi yako huko...Wakuu hamjambo?
Nilitegemea kurudi [HASHTAG]#DarCityBaby[/HASHTAG] ila kila nikikumbuka hilo joto, na mikelele, na mji ulivyojaa matapeli, kwakweli nakosa hamu. Ila sababu kubwa ni Bata kuninogea hapa Arusha city, kwakweli huu mji ni Paradise ndogo.
Hujakaa sawa toto la kichaga hili hapa, ukiangalia kulia kuna hafcast wa kimarekani na kibongo unachat chat nae, hujashusha glass mara muhudumu anabadilishana nigh shift na mchina....tchaaaa
Nimetembelea viwanja ila naona ni vingi mnooo wadau, nilianza Zest, Pin Point, Viavia, Figgy Tree, nk...yaani nikaona nipumzike maana ni full raha, hali ya hewa inabamba, madon hayana stress, kwakeli nataka nihamie huku.
Pia nimenotice Trending news za Dar huku hazipewi shobo kabisa, yaani watu hawana time na udaku au big news sijui Lulu kaachiwa, mara Kiba amekwama YouTube, au sijui Magufuli katisha watu tena, yaani huku ni kama watu na nchi yao na mambo yao.
Arusha tamu sana. Niishie hapo
chikamooo mam sabrina..mama la mama, mama la mujini, le dadaz le sistazKheri umeanzaa niamkie kwanza
Woyoooo kwamromboo unakula mbuzi hadi unasema hiiiiiiiii..by jiwePia Hatupendi sana chips mayai huku ni mbuzi choma kwa mromboo.
Saivi tuna double road mpaka tengeru jam imepungua.
cc Money PennyPeleka ma uzinzi yako huko...
Shuka hookup au bugalooh pita The Don malizia club D kwa mataita.
Pinpoint ndo pachafu kabisaaaaViavia=malaya wa kizungu
Pin point=malaya wasomi
Wabobezi Utawajua TuMkuu bado hujaiona arusha huko ni viwanja vichafu ,supu asubuhi kapige stadium bar au ppicnic bar/mchana kale rose garden club ,bot club kisha pita the fuzz kisha mjengoni olasity hutakaa urudi dar
Nipo Hapa Sasa Hivikarb shiva mkuu ..nazungusha glass na halfcast za kimasai...!!
ewaaaaaa! wanaume wa chuga ktk ubora wetuNipo Hapa Sasa Hivi
Hatuna Mboyoyo Mingiewaaaaaa! wanaume wa chuga ktk ubora wetu