Bado naumia sana. Huyu binti bado ananichanganya na kunivuruga

Mkuu kwanza wwnasema usimpenda sana mwanamke kama yeye hakupendi the same way wewe unavompenda kwa sababu the deep you love the deep pain you will have when sshe starts drama.
Wanawake huwa wengi hakwambii sikutaki ila huanza visa kama unavoviona, one thing you can do
1. Kubali kuwa mjinga uendelee kumega kisela jifanye hujui kila kitu anachofanya.
2. Kwa vile mwanamke haachi mwanaume aliyenaye hadi awe amepata mwingine aliye bora kuliko wa mwanzo. So jiweke uwe bora kuliko aliyenaye.
3. Move on mute status zake zote. Hii imenisaidia kumwacha mwwnamke niliye mpenda sana then yeye ndo amebaki kunifuatilia coz anaweka status za kuniumiza mm siziangalii ila kuna mtu ananipa updates
Nashukuru kwa ushauri ndugu nadhani unajua ugumu wa kumuacha mtu ulizoena naye kwa kipindi kirefu japo hapo uliponi ushauri nijiweke bora zaidi ya jana ngoja nitajitahidi kulifanyia kazi hili labda anaweza kurudi pindi nitakapo kuwa bora zaidi ya jana
 
Nimejaribu hili mkuu nimeshawahi kumblock akanipiga kwenye namba mpya kwanini nimefanya vile kumblock number yake nikaona isiwe kesi nika unblock number yake na kumkanya hizo post anazopiga na wanaume huko whatsapp nilidhani atabadilika ila ndio kwanza anazidisha mahusiano nao nashindwa kuelewa ana maana gani
We jamaa una undez flan, af uyo dem amejua we ni dhaifu kwake so atakupelekesha balaa.
 
Habarini wakuu naimani nyinyi humu wote ni wazima wa afya! Kama kijana wenu bado naendelea kuteseka na mapenzi maisha nayo yananichanganya sana mpaka nakaa nafikiria kujiua nikapumzike kaburini niepukane na haya matatizo, ila why God always me?

Kuna siku fulani nilileta uzi kuwa shemeji yenu mtarajiwa anafanya vijimambo mpaka nashindwa kuelewa sababu ni nini? au anafanya haya ili anirushe roho juu kupita status zake huko whatsapp akiwa na wanaume kwenye birthday zao, migahawa ya gharama na leo pia kapost status akiwa kwenye gari ya mwanaume sijui wanaelekea wapi ila kwa jinsi ninavyoona kwenye video ya leo nimeona wapo kwenye hili daraja la kijazi wanaelekea city centre.

Kuna wadau walinishauri niachane nae,,, ushauri wenu niliupoke kwa mikono yote miwili. Lakini moyo wangu bado unamwitaji huyu binti niishi nae (Wanasema true love never die) nashindwa kumuacha kila nikijitahidi kuachana naye ila naona shetani anazidi nguvu.

Nishaurini jamani ni njia gani ninaweza kuifanya ili nimsahau kabisa kama alikuwepo kwenye maisha yangu yaani nisimuazie tena ni move on ni focus na lengo langu la maisha maana nimejaribu njia zangu nimeshindwa kutokana na mitego yake anayoniweke ili niwasiliane nae na mimi sitaki wakuu #Natanguliza shukurani.
uzi kama hizi tuliziachaga huko Fb..na huku naona mnazidi kuongezeka
 
Ni nani ambae yuko tayari kuachana na mpenzi aliezoeana nae kwa zaid ya mwaka mmoja, miwili au mitatu? Hakuna na moyo huwa unauma sana inapofikia hatua hiyo ya kuachana utapitia maumivu lakini bro

Kwa afya ya moyo wako, uhai na uhuru wako usimng'ang'anie mtu ambae vitendo vyake vinaonyesha haoni umuhimu wako, ukimpenda mtu huwezi kuonyesha hadharani kuwa upo na mwanamke/au mwanaume mwingine tofauti na yeye na unafuraha huo ni usaliti wa vitendo bado tu kukwambia wanaume wanaompenda ni wengi kwahiyo wewe humbabaishi.
Nashukuru bro kwa kuwa umeiona hali ninayopitia kwa wakati huu angalau umenifariji nafikiria kumuacha japo nashindwa naimani nitalivuka hili pia
 
We unapata pesa za kula, mwenzako anahitaji maisha ya matunuzi huoni hapo kuna shida? FUTA namba ya huyo Kima usiwe unaona status zake tafuta mtu mwenye Nia ya kupambana na maisha kama wewe, maisha yanaendelea mkuu.... Ukijiua ataacha kuliwa au?
Sawa bro ngoja niangalie namna ya kulivuka hili maana huu mtihani ninaoupitia si mchezo
 
Mkuu kwanza wwnasema usimpenda sana mwanamke kama yeye hakupendi the same way wewe unavompenda kwa sababu the deep you love the deep pain you will have when sshe starts drama.
Wanawake huwa wengi hakwambii sikutaki ila huanza visa kama unavoviona, one thing you can do
1. Kubali kuwa mjinga uendelee kumega kisela jifanye hujui kila kitu anachofanya.
2. Kwa vile mwanamke haachi mwanaume aliyenaye hadi awe amepata mwingine aliye bora kuliko wa mwanzo. So jiweke uwe bora kuliko aliyenaye.
3. Move on mute status zake zote. Hii imenisaidia kumwacha mwwnamke niliye mpenda sana then yeye ndo amebaki kunifuatilia coz anaweka status za kuniumiza mm siziangalii ila kuna mtu ananipa updates
huo ndo unyama wa kiumeni,,tafuta hela baadae aje kukutafuta kwa aibu
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu nadhani unajua ugumu wa kumuacha mtu ulizoena naye kwa kipindi kirefu japo hapo uliponi ushauri nijiweke bora zaidi ya jana ngoja nitajitahidi kulifanyia kazi hili labda anaweza kurudi pindi nitakapo kuwa bora zaidi ya jana
Na akirudi baadae unataka umpokee vizuri tuu we jamaa hatarii.

jiwekee muda maalumu wa kumsubiri kmya kimya bila kumwambia chochote, asiporudi ndani ya huo muda endelea na harakati zingine za kutafuta wa kuanza nae na kufanya nae maisha.
 
Back
Top Bottom