BADO NAMTAFUTA

BADO NAMTAFUTA

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
Naombeni yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kufanikisha kupatikana kwa huyu mama maarufu kidogo...

Nina shida nae kubwa sana huyu mama angu...

Kama kuna mtu ni jirani yake...basi naomba hata aje inbox anielekeze mahali pake anapoishi...au ana mawasiliano yake...au ndugu yake wa karibu atakayenifanikisha kupatikana kwa huyu mama..

NAOMBA SANA MSAADA...

FB_IMG_1566059301128.jpeg
 
Piga namba hii 0679733028 kuna jamaa yng mmoja mbongo muv anaweza kukusaidia!
 
Piga namba hii 0679733028 kuna jamaa yng mmoja mbongo muv anaweza kukusaidia!
Shukran sana...nitajitahidi...

SIJAFUNGA MLANGO WA MSAADA...YEYOTE MWENYE NJIA YA KUSAIDIA ASHUKE HAPA...
 
Back
Top Bottom