Bado nampenda

Piga chini kama bado anampenda means anaweza akampa kiduchu japo kwenye majani!
 
Yoouuweehh Pole sana nlikuwa nasikia tuu kumbe ni kitu Serious dat inabidi "MOYO USUKUME DAMU NA SI VINGINE" pendo haligawanyiki into two equal pieces.! Anyway kama umelipenda jibu jus chill but mm angenipa jibu la uhakika tena current sio la kusema anampenda "wat a"...?
 
Cjui watu mnapataga wao huo moyo wakuskiliza hizo story
Za x wa mpenz wako
 
japo kwa kusema bado anampenda nahisi kama ni bonge la dharau kwangu na sidhani kama ameshindwa kupotezea feeling zake ..... hata wengine kuna sehemu tulipita zamani but once we are done there is no more love left!
but kwa hili..... am so scared.....
 
Haikua sawa kumuliza kama bado anampenda au LAA,as long as ameamua kua na wewe basi jua kama kwa sasa ni nafasi yako na wala ustake kujua kama anampenda au hampendi,au hijiamini mkuu kama unapendwa? mara nyengine usimuulize chochote hata akikwambia kakutana nae tena kwenye Dala dala kaa kimnya au anza kufikiria njia ya kutoka...
 
Unaanzaje kumuita mtu EX wako kama hamkugongana..?! Kama ni hivyo, basi humu ndani kila mmoja ana ma EX kibao.. To me EX MAANA YAKE MGEGEDO ULIHUSIKA.

BY THE WAY, HAWALA HATONGOZWI..
 
Huyo si mwanamke, u are wasting your time trustvme!
 
aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi na wala sio bwana harusi... bado mnanishauri harusi???? mm nikiona mtu anagongewa naona kama nagongewa mm so baada ya miaka kadhaa ijayo ndo mniulize naoa lini!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…