Bado naishangaa (admire) Urusi

Thankyou brother your post gives us a real insight into the matter.
 

Mkuu upo sahii kabisa
Ila CIA walikuja kuumia baada ya kugundua kuwa ISI walikuwa na lengo lingine kabisa na nikupandikiza utawala wa mullah. Hapo ndo wanapopewa credit ISI maana US, SOVIET NA PAKISTAN wote walikubariana kuwa serekali ya bwana Najibullah katika mkutanowao kule geneva. Hata hivyo very soon MUjahidina ya mullar with the help ya ISI ikafanikisha kuchukua sehemu kubwa ya nchi, Baadae kufanikicha kuchukua nchi. Hata hivyo kulingana na mlengo wake pakistani ISI ikawageuka na kumsapoti Talibani
 
Wanasema ISI,ilifanikisha kwa namna Fulani kuangusha superpower mmoja,yaani soviet union,kwa kuprolong vita vya afaghnistan,kisha said akamaliza kwa kushusha being ya Mafuta na hiyo kuvuruga uchumi wa soviet,
Ndo maana sasa Russia hakujidumbukiza mzima mzima Kule Syria kwa kupeleka ground troops,kwa kuhofia habari ya afaghnistan kujirudia.
Na baada ya hapo,ISI,ilitaka kuangusha superpower nyingine,yaani marekani,kwa kuanzisha na kufadhili Taliban,na kuprolong vita vya afaghnistan,hadi waukamue uchumi wa marekani,na hii ndo maana Taliban imeshindikana kupotezwa,sababu inapata misaada ya kiiteligence na silaha,toka Pakistan,na fedha kutoka Saudi Arabia.
 
Nchi wanachama wa NATO wana idadi ya watu kama milioni 800 hivi. Urusi hadi kufika mwaka 2016 alikuwa na watu milioni 144 tu. Sasa hapa mtu yoyote mwenye akili timamu lazima ajiulize ni kwanini watu milioni 144 wawaogopeshe watu zaidi ya milioni 800 ???

Tena tunapokuja kwenye swala la Uchumi, umoja wa NATO una nchi kama Marekani, Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ambazo ni Mataifa yenye viwanda vikubwa na yanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa dunia. Mataifa matatu ni wanachama wa kudumu wa Baraza la Ulinzi na Usalama la umoja wa Mataifa wenye kura za VETO.

Huku ukija zaidi taasisi zote kubwa za kiuchumi za Bretton Woods zinaongozwa na wao. Ambapo Raisi wa World Bank lazima awekwe na Marekani huku Raisi wa International Monetary Fund lazima awekwe na Ulaya. Sasa mpaka leo Mrusi anadunda tu japo kwa shida, lazima ana kitu cha ziada.
 

Russian strategic nuclear forces
MKUU KOMBORA MOJA LA SARMAT ICBM LIKITUMWA LONDON LINA KULA NCHI NNE
UK YOTE
UFARANSA HALF
BELGIUM YOTE
HOLLAND YOTE
SASA HAPO LAZIMA MUWEWADOGO
The Sarmat ICBM is one of the six new Russian strategic weapons unveiled by President Vladimir Putin on 1 March 2018.





 

This is amazing! Absolutely fantastic mkuu. Hivi ile protocol ya Warsaw Pact bado in exist? Ilikua na mfanano na NATO yaani something like Counter Organisation to NATO? Urusi ilikua ni mwanachama? How powerful is/was it?
 
This is amazing! Absolutely fantastic mkuu. Hivi ile protocol ya Warsaw Pact bado in exist? Ilikua na mfanano na NATO yaani something like Counter Organisation to NATO? Urusi ilikua ni mwanachama? How powerful is/was it?

WARSAW PACT ILIANZAKUFAA MNAMO MWAKA 1999 BAADA YA CZECH, HUNGARY NA POLAND KUJIUNGA NA NATO NA MWAKA 2004 BULGARIA, ESTONIA, LATVIA, LITHUANIA, ROMANIA AND SLOVAKIA NAO WALIJIUNGA NA NATO.
KUBALANCE POWER,IKAANZISHWA SHANGHAI COOPERATION ORGANIZATION IKIWA NI MABORESHO YA SHANGHAI FIVE.NA KUNA BRICS PIA. SO TOGETHER WANAKUWA NA STRATEGIC DEFENSE AND ECONOMIC BALANCE KU COUNTER NATO
 
Ok, asante sana mkuu. Hao BRICS ni more of an Economic Cooperation though mataifa kama India na South Africa hapo yanafaidika strategically kwenye defense issues pia
 
Ok, asante sana mkuu. Hao BRICS ni more of an Economic Cooperation though mataifa kama India na South Africa hapo yanafaidika strategically kwenye defense issues pia

Nuclear weapons in Russian military doctrine
According to a Russian military doctrine stated in 2010, nuclear weapons could be used by Russia "in response to the use of nuclear and other types of weapons of mass destruction against it or its allies, and also in case of aggression against Russia with the use of conventional weapons when the very existence of the state is threatened"
 
against it or its allies,
Dah! Hapo South Africa sio wenzetu kumbe....Ingawa nashangaa kitu kimoja hapo kwamba India na South Africa kiuchumi kama ziko karibu zaidi na Western Block. Ninavyo elewa biashara kati ya nchi hizo na Ulaya na Marekani ni kubwa zaidi kulinganisha na Urusi...labda kidogo China

Au labda kuna ugumu flani kukubalika kwenye Strategic Millitary Cooperation kwenye Western Block kama ugumu iliyopata Turkey kukaribishwa NATO?
 
upo sawa wengine ni mashabiki kama wa mpira,russia ni shida.
 
kwa muktadha huu basi ISI ni hatari zaidi,
 
kwa muktadha huu basi ISI ni hatari zaidi,
Nimewapa heshima mkuu, ni kweli hapo unaweza kuwaweka kwenye daraja sawa pamoja na kina CIA na hata M16 japo wanazidiwa kitechnolojia
 
sisi hatutaki teknolojia tunaangalia kazi.
Ingawa teknolojia inamchango mkubwa kwenye intelligence business hao ISI nimewavulia kofia kwa mission zao walizo zi accomplish wakitumia resource walizokua nazo locally
 
Ingawa teknolojia inamchango mkubwa kwenye intelligence business hao ISI nimewavulia kofia kwa mission zao walizo zi accomplish wakitumia resource walizokua nazo locally
hivyo basi wao kwa ujuzi uliotajwa hapo wala hawahitaji teknolojia nyiingi sana wanapata kidogo wanachanganya na walivyojaliwa na muumba na mambo yanaenda marekani nao saa nyingine vuvuzela sana.
 
mfano GDP by PPP china anamzidi USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…