Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Wataalazmu wa mambo ya intelijensia naomba msaada wenu, uzoefu wangu ni wakusoma vitabu vya espionage ziwe za kitechnolojia, uchumi , kijeshi au za kisiasa zinazohusisha mataifa makubwa ulimwenguni zikiwemo nchi za Marekani, Ulaya ya Magharibi kama Uingereza, Ujerumani Ufaransa na hata zilizokua nchi za kisoshalist za Ulaya ya Mashariki ikiwemo Urusi na Mashariki ya kati Israel ikiwa kinara
Katika usomaji wangu nakuta mara nyingi Urusi inafanya mambo ambayo kiakili unaona hayawezekani. Utakuta Shirika la Ujasusi la Urusi wakati huo linaitwa KGB(sijui sasa linaitwaje) linaendesha (lina run) ma agent wa CIA na kuwafanya kua double agents, yaani CIA agents wanakua informers kwa faida ya Urusi! Tena sio ofisa mmoja wa CIA au wawili ni kwa makumi kama ambavyo Marekani nao wanakua na watu wao ambao wana wa run ma agent wa Kirusi!
Kwa upeo mdogo wa mambo haya niliyokua nao naona ajabu sana Marekani kufanyiwa kitu hiki na Urusi mpaka najiuliza au ni kwavile vitabu ninavyosoma vingi ni fiction labda maana wahusika na matukio ya kubuni tu? Urusi kama inavyofanya Marekani ina run ma agents wa Nchi za Magharibi na kuna wengine wana defect kabisa na kuhamia Urusi!
Bado najiuliza kuna power ya Russia ambayo sisi hatuijui ila Marekani wanaitambua na kuiheshimu?Au Amerika inakua overrated na Russia inalijua hilo kwa hivyo hawaigopi?
Hapa nimemaliza kusoma litabu cha Frederick Forsyth THE DEVIL'S ALTERNATIVE, THE FOUTH PROTOCAl. Hawa jamaa wanapelelezana na wanajuana na huwezi jua nani zaidi. Ila sema tu kitabu ni fiction so sijui ukweli ukoje. Kama kuna anejua atupe darasa wana JF