Unanunua kilo kwa sh ngapi? Na unapatikana wapi?
Ina maana Mkuu Wewe umesoma heading tu ukakimbilia kuuliza? Mbona kuna maneno jamaa kasema hapa hapa Dar??
Ngoja tukufundishe namna ya kuuliza wewe Mulugo,Kwahiyo mtu akikwambia dar basi wewe unajua ni posta au masaki? unafahamu kwamba pemba mnazi nayo ni dsm? ipo zaidi ya 50km kutoka city center...Swali langu lina mantiki unajua wafugaji samaki wa dsm wengi wapo nje ya mji?
Kwahiyo mtu akikwambia dar basi wewe unajua ni posta au masaki? unafahamu kwamba pemba mnazi nayo ni dsm? ipo zaidi ya 50km kutoka city center...Swali langu lina mantiki unajua wafugaji samaki wa dsm wengi wapo nje ya mji?
Ngoja tukufundishe namna ya kuuliza wewe Mulugo,
Dar uko maeneo gani? Siyo ulivyouliza eti unapatikana wapi?
Naamini mtu anayeweza akawa ana uwezo wa ku supply mzigo mkubwa kama huo lazima ajadiliane bei na mnunuzi. Sidhani kama mnunuzi anatakiwa aseme labda kilo elfu 4, bila kujadili vitu kibao...
Kwa kifupi sipo hapa kwa kubishana na mtu kama wewe unajua kaa na ujuaji wako ila ujumbe wangu umefika,kadri unavyozidi kujibu ndio unavyozidi ku-expose ujinga wako,Hilo swali ulilouliza wewe na mimi majibu yatakuja tofauti? Div 5 mkubwa wewe.
jamani vilpi tena mbona mnatupiana lugha ambazo si njema
jamani vilpi tena mbona mnatupiana lugha ambazo si njema
Habari zenu watanashati.
Urgently nahitaji mtu anaeweza kuniuzia Samaki aina ya Sato kwa bei nzuri awasiliane nami.
Number yangu ni 0787220742. Tafadhali
1. Nahitaji Sato kutoka ziwani Mwanza/ Musoma
2. Nahitaji pia Sato wakufuga walio katika mabwawa hapa hapa Dar es Salaam.
Regards.
vijana hao wanafundishana.
Tatizo lako mkuu offer yko ipo chini bei unayotaka ya 6000-6500 hiyo bei ndio ya msoma na bado hujasafirisha na gharama zingine hujaweka.Ongeza pesa watu wakuletee huo mzigo
Bei gani sasa