matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,510
Kama anajali viumbe wake wasio nathamani kuliko wewe. Huu ni ushahidi tosha wewe ni wa THAMANI machoni pake kuliko inzi mwenye lifespan ya siku 15Ntadhibitishaje km ananipenda kweli mkuu🤔
AminaAmina,barikiwa Sana!
YapAu sio
UbarikiweAu sio
Mungu na masela au wahuni wote peponi?Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wako.
Bado anakupenda sana.
Ni hilo tu.
Usiku mwema.
AmeenNami Nampenda Pia.....
AminaaAhsante, nawatakia sabato njema!!