Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,746
Utakuwa muujiza huo , mtafika top 4 ila sio kuchukua ubingwa ๐๐๐๐kwamba, sema tulia mdogo wangu chochote kinaweza kutokea
Top 3 tunafika vizuri bila wasiwasi ๐Utakuwa muujiza huo , mtafika top 4 ila sio kuchukua ubingwa ๐
Basi funga na kusali muombe mungu mno ๐Top 3 tunafika vizuri bila wasiwasi ๐
Hiyo haihitaji maombi ipo wazi kabisa mbona?Basi funga na kusali muombe mungu mno ๐
Hahahha yani napenda tusiwasanue , tushinde mambo yetu kimya kimya tuTop 3 tunafika vizuri bila wasiwasi ๐
Haha hawatoamini, wataishia kusema namna gani pale๐?Hahahha yani napenda tusiwasanue , tushinde mambo yetu kimya kimya tu
Vile manjesta hatuna stress ndogo ndogoHaha hawatoamini, wataishia kusema namna gani pale๐?
Gari la mkaa (Man U) Safari moja msituni inayofuata Gereji.Msimu huu lengo ni kutwaa ubingwa wa EPL.Yan toka nambari 15 hadi 11 ya 7 na sasa ya nne,tumeonyesha kuwa bado matumaini tunayo.lengo letu red devils ni mafanikwa na hapa EPL hamn timu yenye mafanikio kama sisi.
Mashabiki wa man u wamenihamisisha nisikate tamaa ile ndoto yangu ya kuwa tajiri namba moja duniani ๐Daku ulikula chips nini ๐
Ila Man U kuchukua ubingwa eeh acha nicheke tu ๐