Bado hapa nifunge ukurasa wa mabinti niliowafaidi Social Media

officialBossmtoto

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
369
1,178
Wanajamvi wa MMU salama za Dhati kwenu. Aisee kwanza nianze kwa kudeclair interest, Humu jamvini mimi ni mkongwe sana. Tangu mwaka 2008 nipo humu, kwa unoko wa watu fudenge (Sisemi ma-Mod) accoint kama tatu zilikula ban. Saivi nakiwasha kupitia na User ID hii.

Naomba sasa nianze na uzi. Katika maisha yangu ya ujana mpaka sasa nakimbilia 40’s nimefanikiwa kuzifinya pisi tofauti tofauti. Ila nilikuja kupata interest ya kuwaweka kwenye makundu tofauti tofauti.

Kundi ambalo nalizingatia kwa sasa ni kundi la Social Media. Nimekula pisi nyingi kutoka social media tofauti tofauti, Kuna moja niliikuta kwenye section ya kutafuta wapenzi kwenye magazeti nayo nikapita nayo”

Ajabu ni kwamba humu JF sijawahi kupata pisi, sasa sijui ni kwa sababu sijawai kuzingatia na kua serious au wadada wa JF wengi wanajikuta Great Thinkers kwamba Pichu zao zinavuka kwa Crane .

Sasa nasemaje, nawaundia tume. Huu mwaka hauishi nitapita na mmoja wenu. Ila binafsi natamani snaa awe (identity hidden) sjui kwa nini yani, ila hako ka way kake kichwani kananichanganya sana au (identity hidden) kwa kuangalia avatar yake tu anaonekana ana traqo hatari

IMG_5816.png


Hii ndo list ya mitandao ambayo nimefanikiwa kuonja tunda la peponi kwa warembo wake. Jaman bado JF embu mmoja wenu ajitokeze aokoe jahazi
 
jumia ilikuaje

Wa kwanza alikua nadhani marketing manager. Nilinunua kitu mtandaoni, enzi zile jumia unaagiza saa viatu au nguo wanakuletea. Ikaja ambayo sio nikafile report ndo akanicheki whats app kufatilia complain. Tukawa marafiki nikala.


Mwingine nilikuta ameacha review kwenye product ya mtu anaisifia akaacha na namba. Nikabeba nikala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom