Bado hakuna vipindi bora vya michezo kama vya Clouds Fm.

Kichumini

Member
Jun 7, 2016
90
106
Habari za Jumapili wadau.

Hongera kwa Charles Kichere kwa kuula na kuwa CAG
:::::::::::::
Miaka ya karibuni kumeibuka radio mpya na kuja na vipindi kibao vya michezo ukianza na E Fm, U Fm na sasa Wasafi Fm. Kusema kweli vipindi vyote hivi bado havijafika level ya Sport Xtra na Sports round up vya Clouds Fm.


HII NI KWA MTAZAMO WANGU.
 
ACHENI KUJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE LILE NI BALAA ZITO NA ULE NI MWANZO TU
 
Lipi mkuu??

INAONYESHA WW SIO MFATILIAJI WA VIPINDI VINGINE VYA MICHEZO NA NI MSHABIKI WA CLOUDS NA SIO MPENZI WA HABARI ZA MICHEZO NA NDO MAANA HATA ALICHOONGEA HAPO MWENZIO HUJAMUELEWA

NOTE
USIWEUNAANDIKA POST KISHABIKI FATILIA KWANZA KISHA LINGANISHA KABLA YA KUTOA POST KAMA HIZI

ASANTENI SANA.
 
Back
Top Bottom