Bado anaiota CHADEMA huyu

Huyu si wakwanza na ilivyokuwa biashara yake ni siasa basi ataondoka kumoja na kwenda kwengine. Mke aachwapo mwanaume anatakiwa ajizuie asipige chabo kwa mume mfuataji!
 
Anauchu wa madaraka , hawa ndio vibaraka wa kubwa atatupwa kapuni huko hadi atajuuuuta!

Slaa umemsahau? tulipomtema akakimbilia madaraka huko kwenu na anajuwa kuyatumia, kamleta mpaka bi mdogo kudhibiti vyanzo vya mapato na matumizi. Kwi kwi kwi teh teh teh . Mbulu anapowazidi maarifa Wachagga.
 
Kwetu wapi? unajua mimi niko wapi? mimi naanalyse maono na niijuavyo siasa hata angetoka ccm akaenda Chadema ningesema kwa jinsi ninavyoelewa mchezo wa siasa!
 
Katibu msaidizi wa si si em bara huwa hachezi mbali na watu aina ya Shoza. Hapa kajipeleka mwenyewe kilaini kabisa
 
Mzee wa ivory nae anatamani kumweka binti kwapani
 
Kwetu wapi? unajua mimi niko wapi? mimi naanalyse maono na niijuavyo siasa hata angetoka ccm akaenda Chadema ningesema kwa jinsi ninavyoelewa mchezo wa siasa!

Wee kweli punguani, hivi unafikiri mie ntajuwa kwenu wapi? hapa tunaongelea CCM na magwanda.
 
By zomba

Slaa umemsahau? tulipomtema akakimbilia madaraka huko kwenu na anajuwa kuyatumia, kamleta mpaka bi mdogo kudhibiti vyanzo vya mapato na matumizi. Kwi kwi kwi teh teh teh . Mbulu anapowazidi maarifa Wachagga.

Punguani kama nineno zuri basi punguani ni wewe ulieanza kusema huko kwenu wakati hukujui!
 
kajikoboa huyo hadi balaa,, juu mweupe(fanta), nyusi gani hizo jamani we mdada,, kujikoboa kiasi hicho kunaonesha akili yake ni kiasi gani

Alikuwa anamuiga bosi Josephine.
 
mmmmh huyo bado unajua yuko cdm..kumbe bado yuko kwa magamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…