Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Dec 22, 2011 #1 Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake! Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua', Apple akasema 'mimi nafanana na moyo', Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'.
Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake! Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua', Apple akasema 'mimi nafanana na moyo', Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'.
T teamoo Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Dec 22, 2011 #2 Anataka kusema yeye hakuna aliyefanana naye? Labda alisema wakamcheka!
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Dec 22, 2011 #3 Daudi mchambuzi said: Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake! Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua', Apple akasema 'mimi nafanana na moyo', Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'. Click to expand... Malizia hii kwanza! Tutabadilisha itakayofata!
Daudi mchambuzi said: Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake! Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua', Apple akasema 'mimi nafanana na moyo', Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'. Click to expand... Malizia hii kwanza! Tutabadilisha itakayofata!
beyond heaven Member Joined Dec 15, 2011 Posts 83 Reaction score 96 Dec 22, 2011 #5 hahaha.. yaani kalamus.
Kwamex JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 378 Reaction score 96 Dec 22, 2011 #6 Hahaha! Mambo ya kufanana na u.b.o.o balaa..
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Dec 22, 2011 #7 Ndizi yeye hatakuwa hana mfano ndo maana kataka stor ibadilike