Badilishana kituo fasta

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
916
Reaction score
928
Habari walimu, nawatangazia kwamba nimefanya maboresho ya system(chenjifasta) na kuweza kurahisisha kumpata mwalimu wakubadilishana kituo haraka pasipo ata kutumia nguvu nyingi.

Kama ujajisajiri jisajir sasa na kubadilishana kituo haraka au kama umejisajiri ingia kwenye system na kuongeza mikoa pamoja na wilaya.

Kwa kutafuta system hii nenda google na andika chenjifasta na utaona imetokea ya kwanza juu ya zote fungua na ujisajiri ni bure..

Asanteni na karibuni wote mfurahie maisha ya technologia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…