Badilisha Tabia Moja 2023

Tabia ya kutokubembeleza wanawake ***** huu mwaka naiacha aisee nitajifia mgane, Hakuna tuzo ya usingle na UWABATA ni upuuzi sitaki tena kuishi kwa kupitia sheria zao tena.
🤣🤣🤣
Kataa unafiki mkuu. Dah nimecheka
 
Nafunga ili ukombolewe kaka, unezungukwa na majini yakisubiri umwage manii kisha yalambe, huo ni utumwa, lazima ukombolewe
hapana hakuna jini linalokula manii zangu, maana nna beat off rag mahsusi kabisa, na naifua kila baada ya miezi sita
 
Kuna tabia moja hiyo!! Siipendi kabisa kuwa nayo, ninamuomba Mungu na nitaishinda na kuiacha kabisa 🤝 💪
 
dah sinywi pombe,wala sigara wala kilevi cha aina yoyote ila last month niliamua niangalie kipi kinachomaliza hela zangu

Niliishia tu kucheka mwenyewe baada ya kugundua kuwa misos misos imechukua 70% ya matumizi yangu nkaenda kujiridhisha baada ya kufungua fridge nkaishia tu kucheka kwa vitu nilivyovijaza kwenye fridge
 
Marafiki hauwakatai ila wale wabovu wanapungua wenyewe ukiwa na lifestyle ambayo iko positive. Wataonq kuwa wewe sio mwenzao tena.

Ukisema kuwa hautaki marafiki naona sio sahihi maana kila mtu anamuhitaji mtu wa kumshika mkono mahala.
Yes,nimeanza mwaka jana hii kitu...ni kweli watu negative wanajitenga na mimi...sipendi watu wenye mitazamo hasi.
 
Nimefanikiwa kupiga chini soda,zaidi ya mwaka sasa,nimefanikiwa kuachana na marafiki wenye negative energy...hawa inatokea tu wanakua mbali coz niliamua kua mtu positive sana, nimepunguza pombe sn toka kunywa nyagi mbili kubwa alone mpk kunywa bia nne nalewa, nayo nataka baada ya muda nipige chini Haina maana tena, nimeacha mazoea ya kijinga na watu....watu sio wazuri sn km wanavyotuchekea. Next......kupiga kazi kwa bidii na Mungu anisaidie kwa hii plan yangu ya miaka mitano niitimize.Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…