Badilisha Tabia Moja 2023

ni control ili iweje ? sperms zinazalishwa daily ili ziwe released nje, nizibanie ndani ili iweje ? sitaki
Kwa nini upige nyeto wakati kuna wadada wengi tu unaweza kuoa umpendae mfurahie tendo la ndoa.
 
Pombe na fegi nimedhamiria kwa kweli,sijanywa tangu mkesha wa xmass nahis ntafanikiwa fegi ndio tabu kidogo nikikaa sku 2 ya 3 navuta
 
tabia ninayotaka kuacha ni kuwa mbali na time management yani sifanyi mambo kwa mipangilio
 
Tabia ya kutokubembeleza wanawake ***** huu mwaka naiacha aisee nitajifia mgane, Hakuna tuzo ya usingle na UWABATA ni upuuzi sitaki tena kuishi kwa kupitia sheria zao tena.
 
Mm nataka kubak na dem
Mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…