Badilisha Tabia Moja 2023

Ushkaji nimeshaacha, na hili lilikuwa kikwazo katika kufanikiwa
 
Tabia ya kutokuwa na marafiki yaani mara nyingi nakuwa mwenyewe hata majirani hawajui naitwa nani na sina mazoea na mtu hata mmoja sometimes nataka kupiga stori naona watanizoea mfano ni miezi saba sasa hakuna mtu yeyote amewahi ingia kwangu
Huwa nina tatizo hili pia toka nazaliwa, sinaga marafiki, sipendi kujichanganya na watu pia sipendi kuzoewa na watu hovyo, ikitokea mtu kanizoea naona kabisa kuna wakati ni kama hatu share hobbies inafika wakati tunapoteana tu naamua kuwa peke angu make unakuta mtu anaanza kuku spy personal life issues kitu ambacho sipendi... Njitahidi sana kujichanganya ila nafeli baada ya muda tu...
 
Hasira za haraka na kupuuzia/kutojali mambo. Pia kuamini watu haraka na huruma kupitiliza. Naomba sana 2023 niziache tabia hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua dhaifu sana wa kumwamini kiumbe anaitwa Mwanamke matokeo yake nayajua mimi nilikua nakutwa na nini kiais kwamba matukio yalikua yananirudisha nyuma sana kiakili na kiuchumi, ila siku hizi hata nikimfuma mwanamke wangu anapigwa mtungo siwezi hata kustuka kabisa naona fresh yaani... Hii roho ya ubandindu ya kutokua na wivu wala kuamini kirahisi niliianza mwaka jana january mwanzoni mpaka sasa huwa siiamini kabisa hii jinsia hata ije na trick gani..
 
Angalia mwaka 2022 biashara zako zilikuwa na changamoto gani ! ili 2023 uweze kuzikabiri
 
Aisee Kaka hili Ni tatizo. Tangu 2009 Hadi leo nasema nitaacha lakini baada ya siku tatu najikuta kwenye mtego ule ule
Aisee mungu atusaidie nimekupita kwa experience kidogo mimi nilianza 2004! Nilianzaga hii kitu baada ya kuogopa ukimwi kupita kiasi, wakati ule kila mwanamke nilikuaga naona ana ngoma, kuna warsha ya ukimwi ndo iliharibu ubongo wangu, nikahamia kwenye nyeto,
 
Nilidhani nipo Mwenyewe ila Nimekuja kufahamu kuwa hili Ni tatizo la kijamii. Na Ni janga la Kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…