Badilisha Tabia Moja 2023

Tafuta mbususu ww ila. Chunga kaswende, gono, HIV ipo bado
sitafuti mbususu, natia nyeto, na hii ndiyo ratiba yangu:

1. asubuhi nikiamka napiga moja
2. saa 6 mchana kimoja

3. saa 12 jioni
4. na saa 5 kabla kulala,

siku za mvua naenda mpaka 5 rounds

nna babyCare yangu ya 500g, nakata nayo mwaka mzima

sikumbuki mara mwisho kwenda famasi

sikumbuki lini nilituma hata jero kwa tigo pesa zaidi ya to my beloved mom
 
Danke Bruder für diesen beitrag!
 
Unahitaji vitu viwili tu muhimu:
•Spiritual attachment kwa dini yeyote uliyenae.. hata kama hautakuwa muumini kindaki ndaki
•The Goal/purpose in Life- tafuta kitu unachotaka kufanya maishani more than anything... hapa nazungumzia ile deep passion

Then anza hatua za kufikia malengo yako, anza sasa, kuwa obsessed na hilo lengo lako... fanya kazi 12 hrs per day ikiwa inawezekana... weka to-do list then gawanya mda wako kwa siku into time blocks(kuna apps)... kwamba kila saa na task yake. Hii itakusaidia unakosa ule mda loose

Wewe ni binadamu lazima utaskia tu kusumbuliwa, ukihisi hivyo jua mwili wako ndio unaotaka kupiga nyeto na sio akili yako... Jifunze self control focus on work au kitu kingine usiwaze lile bao la jana au ile feeling ikija ikatae... trust me uki resist robo saa haiishi nyege zishasepa.

A key ni kuwa na strong mind plus hofu ya mungu kwamba hilo tendo ni machukizo.

Strong mind utaitoa wapi: utaipata baada ya kupata ndoto yako, sidhani kama kati ya kutimiza ndoto yako vs nyeto yani wewe utachagua nyeto 😂
 
Shukrani sana mkuu
 
Pombe kuiacha ngumu sana, kila siku huwa najisemea mwenyewe leo sinywi, ikifika jioni najikuta nimeingia mahali nimekunywa na nyingine nabeba napeleka nyumbani.
Ushawahi weka juhudi zozote tofauti na kusema unaacha?
 
mwakani sitaki marafiki
Marafiki hauwakatai ila wale wabovu wanapungua wenyewe ukiwa na lifestyle ambayo iko positive. Wataonq kuwa wewe sio mwenzao tena.

Ukisema kuwa hautaki marafiki naona sio sahihi maana kila mtu anamuhitaji mtu wa kumshika mkono mahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…