Badilisha Modem yako kuwa universal

Badilisha Modem yako kuwa universal

kafuroniyonkuru

New Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Tunabadilisha modem za internet zilizofungwa (locked) kuwa universal yaani zitumike kwa mitandao yote kwa bei nafuu.
Karibu sana Tsh 10000 tu na kama una piece nyingi bei inapungua. 0782458197
 
yangu ya ttcl haitumii chip, hii mnawezaje kuifanya itumie mtandao wowote?
 
Mbona kuna thread humu jf unaweka ime tu wana unlock bure..
 
Karikoo Mtaa wa Aggrey pale kwenye fujo Nyingi na pilika za Mafundi simu. Ku-Unlock Modem ni Tsh1,500. Tena sasa wasijue wengi kuwa tatizo lako ni ku unlock, watakugombania na unaweza kufanyiwa hilo zoezi hata kwa Buku Moja tu. Huyu jamaa hapa na Bei zake labda aende Mikoan ambako watu bado hawajachangamka.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
'kwani haya makampuni ya simu yametoa mamlaka ya kufanya hii kitu kwa raia yoyote akijiamulia au ni uvunjaji wa sheria,mbona wao wameweka cheap husika ili wafanye biashara sasa hii haivuki mipaka ya wamiliki,kuuliza si ujinga'
 
Kwa serikali hii wala sio kosa ingawa kodi wanachukua bila kuzilinda biashara hizo, huko baadaye kitaeleweka.
 
Naomba uni link na hiyo thread kaka!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asante sana kaka! Maana ku unlock hivi vitu siku hizi sio ishu kiasi hiko mpaka mtu anataka kutupiga bei hata sisi watoto wa mjini.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Karikoo Mtaa wa Aggrey pale kwenye fujo Nyingi na pilika za Mafundi simu. Ku-Unlock Modem ni Tsh1,500. Tena sasa wasijue wengi kuwa tatizo lako ni ku unlock, watakugombania na unaweza kufanyiwa hilo zoezi hata kwa Buku Moja tu. Huyu jamaa hapa na Bei zake labda aende Mikoan ambako watu bado hawajachangamka.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

na huku mkoani tunatumia Dc-unlocker client
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom