Ndugu wana CC..
napenda kuchukua nafasi hii,kuwaweka wazi kua mimi mimisa sihusiki na mabadiliko ya kitabia na mwenendo wa zilipendwa wangu manoah..
umu ndani kuna minong'ono minong'ono inayonihusisha na tabia shitukizi za my x huyu..na kunitaja taja kua nahusika kwa namna moja ama nyingne..nazipinga kwa moyo wangu wote,akili zangu zote,na kwa matendo yangu yote. Bishanga ..ukwe hauishagi nasikia..napenda ujue kua mm sijahusika na mabadiliko ya mwanao..
copy😡stevoh Paloma sosoliso Kaizer na Mentor mwayaona haya?,
Bishanga, Baba V..na wengine wote
Na nimeskia eti ananiwinda baada ya mapinduzi yake kushindwa vibaya.... namsubiri....
bibie usikate lawama, unahusika maana baada ya kutengana nae ndio tabia zimebadilika, sasa chakujiuliza je wewe ndio umepandikiza hizi tabia kwakwe au alikuwa nazo na ulikuwa unamdhibiti? hebu dadavua...
Ndugu wana CC..
napenda kuchukua nafasi hii,kuwaweka wazi kua mimi mimisa sihusiki na mabadiliko ya kitabia na mwenendo wa zilipendwa wangu manoah..
umu ndani kuna minong'ono minong'ono inayonihusisha na tabia shitukizi za my x huyu..na kunitaja taja kua nahusika kwa namna moja ama nyingne..nazipinga kwa moyo wangu wote,akili zangu zote,na kwa matendo yangu yote. Bishanga ..ukwe hauishagi nasikia..napenda ujue kua mm sijahusika na mabadiliko ya mwanao..
copy😡stevoh Paloma sosoliso Kaizer na Mentor mwayaona haya?,
Bishanga, Baba V..na wengine wote
Sorry nilikosea mimisa