badiebey-eissh this woman!!

To the nearest galaxy,smart, humble, reserved, slim, out going, practicle

mhhh that's flattering....thanxxx..except hapo kwenye slim,mi bongenyanya ile mbaya..
Maybe i should stalk you a lil as well...lols
 
If stalking is a crime here in jf then I should be sentenced to a capital punishment when it comes to you, how did you gain weight by the way,
 
Hapa sipawezi ni full kingereza na mie nilikimbia umande.

wengine tulikuwa tunaenda shule saa nne,

huhhuuuu! umande hatujakanyaga, na kidhungu tunakijua pia!

hohohohoooo!

mahaba niunguze kama soko la karume! cc badiebey
 
Last edited by a moderator:
Free P ndo nini na inakwaje?
 
Viol muite engineer WA policy ya free p, Lara 1 kwa maelezo zaidi
 
Halafu siyo free P, hiyo inaitwa upendo wa kweli.!

Mdo 13 : 1 - ...
Upendo wa kweli haujivuni, hautakabari, hautafuti yake, .......

No Free P = ni sawa wa kutafuta yake a.k.a Pesa.

NB : kujaliana kwa hali na mali penye uwezekano hamukatazwi.
 
Mkuu xyz, upendo WA kweli ulikuwepo miaka ya 90 kurudi nyuma , sasa Ni kubahatisha tu
 

Mmmh...umeamua udanganye?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…