Badala ya tujadili kuhusu makinikia tunamjadili Tundu Lissu

marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,496
2,000
Yani mjadala wa makinikia sasa umekuwa substituted na jina la tundu lissu kwanini? Mkuu jana nae badala ya kufocus kwenye mambo ya msingi nae akaingia mkenge kuanza kumjibu lissu why?

Kwanini mnatuto kwenye mjadala, ukiingia humu katika thread kumi basi tano hadi saba zinamjadili tundu lissu who is he? Inaamana lissu ni muhimu kuliko makinikia?

Rudini kwenye issue ya msingi! Lissu ataua kabisa mjadala wa makinikia maana sio lumumba wala nyumba nyeupe wote vidole vinawawasha kumuandika lissu, magu grow up and your little cubs!
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,663
2,000
Leo kaja na hoja nzito sana kuhusu dhamira ya Magu. Kauliza bungeni, Waziri wa nishati na madini mwaka 1994 Meja Jakaya Kikwete alisaini mkataba unaolalamikiwa wa Bulyankulu na hayupo kwenye orodha ya wanaohojiwa wakati alifanya hayo akiwa hana kinga ya urais na katiba haisemi kuwa mstaafu hatahojiwa hata Yale aliyofanya kabla ya kuwa rais.
Hapo ndio dhamira halisi inapo julikana kama ni ya kweli au kabobo tuu
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,169
2,000
Dah leo kawapa darasa bungeni kuhusu kamati 6 za kushughulikia madini..... kwa kweli kwa staili hii ataendelea kuwaumiza kichwa na shida ya magu badala ya kumtolea lawama ngeleja sijui kafumu hapana wao walitumia 80% ya lawama kwa lisu kana kwamba alisaini mikataba hii!!!! Kazi kwelikweli afu akaenda mbali na kusema washughulikiwa yaani sio chenge ashughulikiwe ila wapinzani!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom