Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, ina maana unam-monopolize rafiki? hii sijapata kuona.....urafiki wa makundi siupendi mimi yaani mko group moja kisha ndani ya group wawili au watatu wanjitenge na kunena au kuteta mbali na wewe yaani mambo haya yalinishinda tangu niko primary rafiki mmoja tuu na akileta za kuleta nae namtimua sitaki unafiki mie. Yaani huyo mdada mwenye blouse nyeupe alivyo mzuri na anavotia huruma wenzake wanamtenga sijui anasubiri nn hapo? ushoga kazi sana mie ulinishinda kabisaaaa.
macho yangu yaliganda hapo. niko curious
kuna siku rafiki yangu saaana ambaye ni mkaka aliamua kujisemesha kwa watu kuwa anatembea na mimi. watu wakaja kuniambia. na kwa sababu tupo jirani sana na kwa vile yeye mwenyewe ndo kajitangazia watu hawakuweza kufikiria kuwa anasema uongo, waliamini.
Tukitukanwa, tukasingiziwa, tukaharibiwa jina, tukaaibishwa na kufanyiwa ubaya, bado thamani yetu itaendelea kuwepo. Kama tutalijua hilo, basi hakuna dhalilisho au kashfa ambayo itaweza kutufanya tuone kwamba tumevunjiwa heshima au kudhalilishwa. Hii ni kwa kuwa thamani yetu haiwezi kuguswa na mtu kwani iko ndani mwetu.
always formula yangu kwa mtu aliyenikwaza ni kumsamehe, napenda sana kusamehe kuliko kitu chochote, nisiposamehe huwa naumia sana na nashindwa kuendelea na mambo yangu. hata kama sitataka kuendelea urafiki na mtu aliyenikwaza, kwanza namsamehe ili nipate amani ya moyo....Ngoja nikuambie kitu Fixed Point ,
'
Binadamu wote tuna mapungufu,kuwa na mapungufu sio laana
'
Tukitambua hilo tunatakiwa tujue kuwa HAKUNA mkamilifu,kama hakuna mkamilifu hatuna budi kuvumiliana,na kusameheana ninaposema hayo simaanish kuendelea kuwa karibu mtu anaekuumiza,bali tengana nae kwa amani na usimchukie kwa kuwa hata wewe nawe ni dhaifu na pia kule kuumia na kushindwa kuwa nae ni udhaifu zaidi
'
Lakini yote haya sio laana au dhambi
'
Thamani yako na ya mwingine haiondolewi kwa talaka,kashfa,majungu au kudhalilishwa,thamani yako iko ndani yako,ni WEWE
'
Ishi kwa furaha huku ukiepuka kuwaumiza wengine!
Kumbe kirefu cha FP ndiyo hicho, ngoja na mimi nichangie mfuko halafu niweke user name kwa kirefu.I like the old Fixed Point than the new @FP !!
mbona mimi sijawahi kupata "samehe" yako FP? Basi leo siondoki mpaka na mimi unisamehe.always formula yangu kwa mtu aliyenikwaza ni kumsamehe, napenda sana kusamehe kuliko kitu chochote, nisiposamehe huwa naumia sana na nashindwa kuendelea na mambo yangu. hata kama sitataka kuendelea urafiki na mtu aliyenikwaza, kwanza namsamehe ili nipate amani ya moyo....
ukisha samehe kunakuwa hakuna haja tena ya kulalamika kwa watu. unaangalia tu huyo mtu kama bado unataka kuendelea naye au la. kama umeamua kuachana naye kunakuwa hakuna biff tena kati yenu
Kumbe kirefu cha FP ndiyo hicho, ngoja na mimi nichangie mfuko halafu niweke user name kwa kirefu.
ha haaa, hiyo ndo original me......Kumbe kirefu cha FP ndiyo hicho, ngoja na mimi nichangie mfuko halafu niweke user name kwa kirefu.
kwani kuna ulipowahi kunikwaza mdogo wangu?mbona mimi sijawahi kupata "samehe" yako FP? Basi leo siondoki mpaka na mimi unisamehe.
umeona eeehhhh!Yah! Fixed Point ,Hiyo ni nzuri,ukiwa na kinyongo na biff unaweza kujikuta unakua na biff na wewe mwenyewe kwa kuwa wewe nawe umepungua
'
Mwishowe unakufa mapema,yote hayo yanini?
Basi nisamehe kwa kukuuliza maswali mengi leo.kwani kuna ulipowahi kunikwaza mdogo wangu?
hilo lilinipita. yaani sikumbuki kabisa kama uliwahi kunikwaza.
ukiona sikumbuki ujue hujawahi kunikwaza my dear
ha haaa, aulizaye ataka kujua..... kunahitaji msamaha hapo mdogo wangu?Basi nisamehe kwa kukuuliza maswali mengi leo.
marahaba mdogo wangu, hujambo?
marahaba mdogo wangu, hujambo?
una kesi na unaijua, lol!
kama kawaida nipo mafichoni, ukinitaka you know where to find me
Nimefurahije.ha haaa, aulizaye ataka kujua..... kunahitaji msamaha hapo mdogo wangu?
kama ni swala la kusamehewa tu hata bila kukosa, UMESAMEHEWA.
mi hapo tu!unajua sana kusamehe dadangu wakati mi ni bingwa sana wa kuomba msamaha!ha haaa, aulizaye ataka kujua..... kunahitaji msamaha hapo mdogo wangu?
kama ni swala la kusamehewa tu hata bila kukosa, UMESAMEHEWA.
ha haaa, ina maana unam-monopolize rafiki? hii sijapata kuona.....
yaani ukiwa rafiki yangu hupaswi kuwa na rafiki mwingine? sijakuelewa hapo wifi yake snowhite.
mimi naweza kuwa na rafiki huyu lakini pia rafiki akawa na rafiki mwingine, na inaweza tokea mkakutana na yule rafiki yake mkajikuta mnakuwa marafiki, sasa hapo unafanyaje? ina maana wewe unakuwa na rafiki mmoja at a time? au unakuwa na marafiki wengi lakini kila mtu kwa muda wake? hii inafanana na wale mabingwa wa kuna na mabf/gf wengi at a time lakini kila mtu anapangiwa muda wake