42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Nimepitapita zangu Aliexpress nikakutana na hii simu. Kwa Around laki 4 hivi unajipatia,
Realme 9i ambayo ina
FHD+ Display with 90Hz refresh rate
4GB of RAM
128GB of storage(zenye 64GB naona watu wamezichangamkia maana ilikuwa zinauzwa around 350k tu).
33W charge ndani ya Box (Full charge in 70min)
Qualcom Snapdragon 680 (Hii ni 6nm processor, achana na MKT za tecno).
50MP camera nyuma
16MP camera mbele
5000mAh battery
Side fingerprint
Rangi za kijanja Prism Black na Prism Blue
Hii ni Limited offer kutoka kwa Official Store ya Realme kule Aliexpress.
Inaisha kesho kutwa asubuhi.