jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,806
la mbaya tu ni kua wengine ni kweli wana mood swings za ovyo na mara kwa mara (huyu kazi kweli kumuweka sawa ) na kuna yule ambae anafanya makusudi just to seek attention - yaani inakua kama a way ya kudeka.
JG... Umegusia suala la muhimu saaana... For hakuna kitu kinaboa kama uwe na mtu mwenye mood swings za mara kwa mara.... Mwanzoni unaweza hata usigundue kua mpenzi wako ana mood swings, tokana na the fact kua mapenzi yanakua yametawala na huoni mabaya but mazuri tu ya huyo mpenzi wako... But with time unagundua... unavumilia... some times mpaka inaanza ku strain relationship. Mara nyingi mood swings tumejaliwa nazo wanawake (wanaume ni nadra)... ila mbaya tu ni kua wengine ni kweli wana mood swings za ovyo na mara kwa mara (huyu kazi kweli kumuweka sawa ) na kuna yule ambae anafanya makusudi just to seek attention - yaani inakua kama a way ya kudeka.
However wadada/mama wengi hua hatuelewi kwamba hakuna kitu straining na hufifisha Mapenzi kama mood swings za mara kwa mara... For via experiences na observation nime notice kua wakaka/baba weeengi hii tabia huwaboa; na ni lalamiko la wengi... for nafikiri inafika a time hata yeye anachoka kubembeleza na kukujaribu kukufurahisha.... Ila bana ukiwa na balaa ya kukutana na mwanaume mwenye mood swings za mara kwa mara... sawa na kua na a baby.... kuweza mtreat/mhandle arudi hali yake...
Hivo basi kuweza okoa mahusiano hizo moods zikiwa kama sababu... ni vizuri kuzungumzia kukerwa kwa hio tabia kwa mhusika hasa pale ambapo woote mna furaha na mwaweza sikilizana. Akiwa in a mood umwambie hupendi ndo unawasha moto zaidi....
Lakini at the end of the day it pays kujua weaknesses na strength za Mpenzi wako - ukijua hivo daima utajua ni jinsi gani ya kumuingia akiwa na huzuni ama furaha....
The only way ya kudeal na watu wa aina hiyo ni kuwapa space, thou wataona kama umewadharau kwa kitendo hicho, ila utakuwa umeepusha mengi, i once been in a relationship na mtu wa aina hiyo, huwezi amini nikaona kama anachukua nafasi yangu kama mwanamke na mimi kuwa mwanamme, coz akinuna mie nibembeleze, akisikia njaa anakuwa n hasira, yaani huwezi kujua kila siku atafanya nini
deko lazima uwe umelikaribisha mwenyewe........na yeye akigundua huo udhaifu wako basi ujue umekwama...........
Just a quote from the movie "If he/she is always on it, then it becomes no longer a mood, it is a personality"
Inapotokea mtu yupo kwenye bad mood jaribu kuangalia tatizo nini hadi awe hvyo. Kama umehusika, jaribu kubembeleza japo kidogo. Kama ndio madeko bora usiyaendekeze,
Kuna watu all the time wapo kwenye bad mood
<br />Inapotokea mtu yupo kwenye bad mood jaribu kuangalia tatizo nini hadi awe hvyo. Kama umehusika, jaribu kubembeleza japo kidogo. Kama ndio madeko bora usiyaendekeze,
Hakuna mtu anae penda mood swings, hata muhusika mwenyewe. Dawa ni kumwacha tu peke yake kwa muda. Mr Boss, kama yuko in bad mood all the time maana yake umwache all the times coz haina maana kuharibu siku yako ukisubiri mtu kama wewe awe tayari kufurahia presence yako wakatu kuna wengine wengi wanakuchangamkia.
Just give them some space and all will be fine. Kuna wakati wanataka waombe hiyo space ila na wenyewe wanafikiri watu watawaona wanadeka, wanajivuna etc, so wanachuna tu.
kiukweli most bad moods zinasababishwa na kudeka
mwanamke anadeka na kukujibu anavyojisikia akijua hutafanya lolote kisa unampenda
this is foolishness!
Hapo ni kuwa serious through telling the truth to each other, ukijifanya unaogopa kumuudhi ukimwambia ukweli itakuwa imekula kwako.