Give me the date I'll spot the venue...
On a serious note...
Camp matata, mahaba matata, mziki matata, dance matata, la kuinama na kupinda mgongo!
Dah! Kweli we K. Mtata aisee!
Sisi huku bado tunachezeshwa Jingle bells tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Bamutu ba Congo hatari saana kwa vibe la beers!Aahahahahhaaa uko wapi SK huko mnakopigishwa kwata la jingo bells...??!
Karibu pande hii, dancing class inaanza saa sita mchana ya huku, vibe limejaa pomoni hadi nacheua aahahahahaaa
Batu ba Congo tuna raha sana, sababu tunakula nyani eehhehheee.
K' Matata.
Dah! Bamutu ba Congo hatari saana kwa vibe la beers!
Niandalie supu ya nyani na mishikaki ya sokwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia bibi huyu, kwamba ni Platinum Member.... nashawishika kuamini kuwa JF walikula ile rushwa pendwa.
Hakuna lolote la maana, K ni K tu.... ila hii K ni Matata Platinumz.
Manee...mupoooo!!??