Bad boys watamu sana. Usithubutu kiwaonja ni highly addictive.

Bad boys watamu sana. Usithubutu kiwaonja ni highly addictive.

Mnaolalamika lugha mkae tu muendelee kuota jua la utosini la Dar. Hiyo lugga ndiyo imemfanya LARA 1 kuwemo humu.
ILA LARA 1 Kubwa la maadui siamini kama sterring waelekea kufia kwenye cob web. Duh jamaa kashakuweka kwenye arm pit. You are walking on his steps for sure.
Acha tu.
 
atakuwa ana ngoma
Naomba nikutoe dinner....
nakuahidi smart phone nitaicha kwenye gari,

Pale itakuwa ni kubofya nyama ya kondoo tu...then game la nyoka kwenye kisimu chako tutaenda kulichezea chumbani....si ndo unavyopenda eenh??
 
Wataalamu wa lugha waje watusaidie. Huyu jamaa ametumia lugha gani kuandika??
 
wabongo hawana dogo

mara refuuuuu....kesho waziri akisaini mkataba kwa kuchoka kuusoma wote kwa kuwa ni mrefu unalaumu. kwamba kwa nini hakusoma

mara english .... unalalamika kama vile ulimchangia hata mia kwenye elimu yake

hakuna mtu aliye zaliwa kukufurahisha kama ndefu acha kusoma, kam shida english acha pia

malalamiko kama mtoto wa kambo
 
tuwaze kibiti na rufiji,budget,exil ya mnyika na impact,kupanda kwa mafuta,mishahara kutokupanda na bado ww unatupa stress na noval yako.
 
sipendi kabisa kusoma au kusikiliza stori ya mtu asiweza kutumia lugha moja inakeraaaa inaudhiii inachoshaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom