Bad boys watamu sana. Usithubutu kiwaonja ni highly addictive.

Ghafla nimepitiwa na usingizi wakati naendelea kusoma..!
Naomba kesho nikirudi mnikumbushe nilipoishia kusoma ili nimalizie maana mleta mada amechanganya na "Kiingilishi" sasa sisi wamatumbi tutaelewa kweli.?
 
Dah mi nimetoka bashite ngoja nitulize kichwa kwanza maana hii thread ukisoma na stress unaweza ukapata kisukari
 
inatia uvivu kusoma,ungetumia lugha moja tu,huo ushamba wako wa kujifanya unajua kiingereza peleka huko kwenu uingereza

Kama ulikuwa kwa akili yangu maana......

Kwanza story ni ndefu mno basi kuwa refu isiwe tatizo alivyo changanya lugha sasa duuh

Yaaaan ni ushamba kabisa sidhan kama ameshindwa kuandika kwa lugha moja sidhan kwa kweli

Ila tutajuaje kama kaenda shule eeeh tutajuaje kama lugha iliyokuja na ndege na yeye anaifahamu uzuri daaaaah
 
it seems as anakukuna vizuri sana as you said mambo anayaweza,,all that
 
Dah..yn ni ngumu kuelewa kweli..bora ata kitabu cha KUSADIKIKA nilikielewaga chapter ya mwisho..ila story yako sijajua inamuelekeo upi..nasunir part ya mwisho labda nitaielewa.
 
Miye naona umenasa kwenye tundu na hutoki ng'oo. Kila la kheri taraji u wife hapo.
 
Weee ni zaidi ya noma, nimeinua miguu Juu.!.
 

Vitu vizuri usivotaabikia mara zote huishia kubaya!!!!!! Usingekubali kulala naye na kumlipa ungekuwa the same mpaka sasa!
 
Kumbe watz wengi hawapendi lugha tofauti na kiswahil!! Code mixing huwa tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…